Ritha Digital Limited

RITHA DIGITAL ni kampuni iliyoanzishwa Julai 2023

kwa ajili ya kutoa huduma za Uwakala wa mitandao ya simu pamoja na mabenki.
Kampuni pia inatoa huduma za Usajili wa mtandaoni ikiwemo Usajili wa kampuni, majina ya biashara, namba ya mlipa kodi-TIN, ushauri wa masuala ya kodi pamoja na masuala yahusuyo Graphcs Designing